Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya taifa... Baba, Mama na Vijana kitukuzwe Kiswahili... Toto amka uende shule, asubuhi na mapema We ndio kiongozi wa baadaye, tasaidia Baba na Mama x2 Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya taifa... Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili... Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya Africa... Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili... [children] Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya Africa... Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili... Kaskazini, Mashariki, Kusini, Magharibi vyuo vikuu duniani wakifunza lugha yetu Kiswahili Wajapani, Wamerekani, Europa dunia mzima Watu wote wajifunza lugha yetu tamu, Kiswahili Mtoto amka uende shule asubuhi na mapema We ndio kiongozi wa baadaye, utasaidia Baba na Mama Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya Africa... Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili... [Children] Kiswahili kitukuzwe, ndio lugha ya Africa... Baba na Mama, Vijana kitukuzwe Kiswahili.
Kiswahili-Idd Aziz(official Sync Video) - YouTube | |
322 Likes | 322 Dislikes |
25,956 views views | 610 followers |
Entertainment Kiswahili | Upload TimePublished on 4 May 2016 |
Không có nhận xét nào:
Đăng nhận xét